Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tuesday, May 15, 2012

15 may its my day Asante Mungu wa kila jambo



Nakushukuru Mwenyezi Mungu kwa kila hatua katika maisha yangu asante wazazi wangu Mama mzaa chema Salama nakupenda daima umenilea katika njia inayopaswa sina cha kukulipa zaidi ya kukuombea Maisha marefu na heri duniani Mama nakupenda sana,... Baba nakumbuka sana upendo wako wa dhati kwangu Natamani leo ungekuwa hai tukae tufurahi pamoja na familia na mengi ya kusema na ww ulikuwa mwalimu na nguzo muhim Mungu akakupenda zaidi bdae natimiza miaka kadhaa bila ww ila naamini tuko pamoja kiroho No more 2 say....

shukurani za kipekee pia zije kwa marafiki zangu wana blogers wenzangu waandishi wote wa habari wa vyombo mbalimbali hapa nchini magazeti na Tv nafarijika kupata ujumbe mzuri kwa kila dakika asanteni kwa upendo wenu wa dhati mnaonionyesha mungu ni mwema naongeza umri ni hatua muhimu leo wapo ambao walitamani kufika hapa nilipofika lakini kwa mapenzi ya mola wakatangulia mbele ya haki, niseme nini zaidi ya shukurani za kipekee kwa mwenyezi mungu wangu!???.

1 comment:

  1. NAKICHA OMOO ALEKUFEE INU MONOAMA..
    KUORYE CHA RUWAPFO
    NGIKUKUNDI NA LUTARAMANE KOSHICHA NA SHIWICHO MONOAMA
    MWAHX

    ReplyDelete