Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Friday, May 18, 2012

alie badili blog yangu na kuifunga nimefanikiwa kumtambua wadau kuweni makini na kijana huyo wa DODOMA.


muonekano wa blog yake kwa sasa ulivyo baada ya kuona nimegundua akaibadilisha na kuwa hivyo


MTOTO WA KIUME ANAEJIITA JOHN....... NDIE ALIE FUNGA BLOG YANGU LEO KAAMKA NA KUIBADILISHA SETING NA KUONDOA FOLLOWERS WOTE IKIWEMO KUFUTA BAADHI YA STORIES NA BADO ANAITUMIA LAKINI I PROMIS STILL I WILL DEAL WITH YOU JOHN......... WA DODOMA.

NINA USHAHIDI WA KILA KITU LABDA AIFUNGE KABISAA AU UTAFUTE NYINGINE MPYA NA SOON NTAWEKA NAMBA ZAKE ZA SIM HEWANI NA FULL CONTACT ZAKO ILI WATU WAJUE KUWA NI TAPELI NA MWIZI WA MALI ZA WENZAKE .

NAMPA SIKU CHACHE MPAKA JUMATATU KAMA HATAJITOKEZA NA KUKIRI ALICHOFANYA BASI NITAMUWEKA HADHARANI KWA KUANDIKA ANUANI NAMBA ZA SIM NA PICHA ZAKE KWASABABU NI NAZO NA ANACHOFANYA NI WIZI WA KAZI ZA WENGINE SI MSTAARABU. NIMESIKITIKA ZASA KWASABABU BLOG YANGU IMEKUWA IKIFANYA KAZI KWA ZAIDI YA MIAKA 4 ILIKUW ANA KUMBUKUMBU NYINGI SANA TOKA WAKATI NAFANYA KIPINDI CHA AFRIKA BAMBATAA CLOUDS FM , MAMA LANDI CLOUDS TV NA VINGINE. ILINIPATABU KUANZA KUTEGENEZA BLOG MPYA MBAYA ZAIDI NIKUWA BADO ANAITUMIA ANGEIFUNGA KABISA BASI NIJUE MOJA.

INGAWA IMENICHUKUA MUDA KUTENGENEZA BLOG MPYA NA INAENDA VIZURI ILA KUNA MENGI YALIOKUWA KATIKA BLOG YA MWANZO ILIKUWA NI KUMBUKUMBU NZURI SANA KWANGU HUYU JAMAA ANAEJIITA JOHN WA DODOMA AMEIONDOA NIMESIKITIKA COZ SIJUI NILICHOMKOSEA AU KUFANYIA.NASISITIZA KUMSHUHULIKIA KWASABABU ANAWEZA KU PUBLISH CHOCHOTE KIBAYA NIKAONEKANA MIMI KATIKA JAMII INAYONIZUNGUKA NA KUNIHESHIMU IKASHINDWA KUNIELEWA HAYA NI MAMBO YA MTANDAO SIO YA KUCHEZA NAYO NA MIE NI MWANA HABARI SITAKI KUPOTEZA HESHIMA YA KILE NILICHONACHO.

 baadhi ya kazi zangu za kampuni ambazo niliandika na kupost kutangaza kampuni yangu ya burudani jana zilikuwepo leo kazifuta
 hao ndio walikuwa followers ambao leo amewaondoa sikumoja baada ya kugundua kwamba nimefuatilia na kumtambua
 moja ha kazi nilizowahi kuziandika katika blog hiyo wakati nafanya kipindi cha africa bambataa clouds fm

jana blog ilionekana hivyo ila leo kafuta mpaka contact nimebaki na picha na namba za sim na email endapo hatajitokeza na kuonge ana mie mpaka jmatatu nitaweka information zake zote hapa hapa hewani.

jihadharini na mtu huyo ni hatari.

No comments:

Post a Comment