Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Friday, May 4, 2012

Mwanamuziki wa Bongo fleva Shetta afunga pingu za maisha asubuhi hii ya leo May 4


Mwanamuziki Shetta alithibitisha hilo mapema leo kwa kuuambia  mtandao wa Bongo5 asubuhi hii kuhusu furaha aliyokua nayo baada ya kufanikisha zoezi la kumuoa mamsup wake Leila.
Hongera kwa Mr. And Mrs. Wapya.

No comments:

Post a Comment