Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tuesday, May 8, 2012

NIMEJIKUTA LEO NIKIKUMBUKA ENZI ZA CHUO HASA NILIPOAMKA NA KUANZA KUSIKILIZA WIMBO WA WESTLIFE

yani All the sweet dreamy songs I just used to love to listen to are pouring through my mind.


hivi unajua unapokuwa chuo kwa kawaida kuna kuwa na maisha fulani ... ha ha ha wanachuo najua mwayajua Maisha ambayo ukimalisha chuo ukiwa uraiyani hakika unayakumbuka sana sana, basi mwenzenu leo nimejikuta na miss mambo mengisana nikatamani kurejea chuo gafla alafu nikutane na washkaji na marafiki woote, hakika sijui kama itajirudia nawamiss sana Marafii niliosoma nao pale VETA Moshi, nakumbuka enzi za Disco collage of African Mweka ha ha ha dah kweli Mwanafunzi nimwanafunzi tu.

 Naomba niwaache na maneno ya wimbo huo wa west life mburudike huenda na wewe ukakumbuka machache ulioyapitia chuo kama mie nilivyokumbuka leo.
"More Than Words"
Saying I love you,
Is not the words,
I want to hear from you,
It's not that I want you,
Not to say but if you only knew,
How easy,
it would be to show me how you feel,

More than words,
is all you have to do,
to make it real,
Then you wouldn't have to say,
that you love me,
Cause I'd already know,
,.
...........
tuimbe pamoja basi......
i miss you all guys plz mwenye kujua mlipo wote tuliosoma Instrument Mechanics pale kwa mwalimu mwaikenja oog guys nipatieni email dress zenu.
love you all.

No comments:

Post a Comment