Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Thursday, May 3, 2012

RAIS KIKWETE ATEUWA WABUNGE WA TATU LEO .

Kwa mujibu wa taarifa iliyotumwa kwa vyombo vya Habari na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu imeeleza kwamba Rais JAKAYA KIKWETE amefanya uteuzi wa wabunge watatu wapya kwa mujibu wa mamlaka ya uteuzi aliyo nayo chini ya Ibara ya 66(i)  na (e) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.


Taarifa hiyo imeeleza kuwa Wabunge hao wapya ni PROFESA SOSPETER MUHONGO, BI. JANET MBENE NA BWANA JAMES MBATIA.
Uteuzi huo unaanza kufanya kazimara moja.

No comments:

Post a Comment