Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Friday, June 29, 2012

CHARITY EVENT TO RAISE MUCH NEEDED FOR THE KIDS

so nimeamua kwa muda mrefu sana kutoa for charity and right now am too busy organising this charity event inayoitwa Diva giving for charity.


Aim is raising much needed funds to support orphans
 JINSI YA KUCHANGIA
contact me direct
Tigo Pesa 0655 879287
CRDB BANK 
LOVENESS D.S MALINZI
0112029372500
FANSOFDIVA@HOTMAIL.COM

Chochote Ulichonacho wasiliana na mimi hapo kwa ajili ya kukusanya misaada hio ambayo ntakusanya mwezi wote wa ramadhani na after ramadhani ndio event itafanyika
ASANTE KWA WOTE MNAOZIDI KUANDIKA NA KUONYESHA MOYO WA UPENDO KWA WATOTO AMBAO NI TAIFA LA KESHO HATA KAMA UKO NJE YA NCHI UNAWEZA CHANGIA KWA NJIA HIO NA KWA
WESTERN UNION TUMA KWENDA 
LOVENESS DIONIZ MALINZI AU LOVENESS D. MALINZI KUFANIKISHA ZOEZI HILI LA UKUSANYAJI KABLA YA RAMADHANI KUISHA
Follow on twitter
www.twitter.com/divaakamimi
for updates ukusanyaji

ASANTE SANA 
source diva255

MASKINI DKT ULIMBOKA!!!! (DK ULIMBOKA WHO WAS ATTACKED AND BADLY WOUNDED THE DAY BEFORE YESTERDAY HE IS THE CHAIRMAN OF DOCTORS TRADE UNION IN TANZANIA) Nani aliyefanya huu unyama?!


DKT. ULIMBOKA ASIMULIA TUKIO
Akisumulia tukio hilo

Dkt Ulimboka alisema kuwa  jana usiku alipigiwa simu
 
 na mtu aliyejitambulusha kwake kuwa anaitwa Hemed
 
, aliyemwambia kuwa anahitaji kuongea naye,
 
na ndipo
 
 walipopanga kuonana katika eneo la
 
 Leaders Kinondoni.
 
 
Dk Ulimboka aliyekuwa akiongea kwa tabu, aliendelea
 
kusimulia kuwa wakati akiongea na mtu huyo anayekiri
 
 kuwa alikuwa akifahamiana naye kabla, alikuwa na
 
 wasiwasi kwani kila mara alikuwa akipokea simu na
 
 kuwasiliana na watu wengine ambao hawakuwapo
 
eneo hilo.
 

Alisema baada ya muda alishangaa kuona
 
 wanaongezeka
 
 watu wengine watano wakiwa na silaha, kisha
 
 wakamwambia kuwa anahitajika kituo cha Polisi na
 
 kumvuta
 
 na kumuangusha barabarani kabla ya kumuingiza katika
 
 gari lenye rangi nyeusi na kuondoka naye.

Dkt Ulimboka alisema kuwa wakiwa njiani walimpiga,
 
 na kumfikisha katika msitu huo wa
 
pande na kuendelea kumpiga paka alipoteza fahamu.



MADAKTARI SASA KUMWEKEA ULINZI
Lakini, uchunguzi  umebaini kuwa wodini alikolazwa Dk Ulimboka, kuna ulinzi mkali wa madaktari na hairuhusiwi watu kumwona kiholela siyo tu kwa sababu za kutaka aachwe apumzike, bali pia kutowaamini watu ovyo.

Madaktari wanaolinda eneo hilo walisikika jana wakisema, “Huyu tunamlinda wenyewe na haiwezekani mtu asiyefahamika kuingia humu ndani, na hilo tutahakikisha sisi wenyewe,”alisikika akisema mmoja wa madaktari hao.

Kiongozi jopo la madaktari

Katika hatua nyingine, kiongozi wa jopo la madaktari wanaomuhudumia Dk Ulimboka, Profesa Joseph Kahamba aliwaambia waandishi wa habari kuwa Dk Ulimboka ana majeraha mwili mzima.

“Ingawa kwa sasa anaendelea vizuri, Dk Ulimboka ameumia sana, kwani mwili wake mzima una majeraha kutokana na kupigwa na watekaji hao,”alisema Profesa Kahamba na kuongeza:

“Aliumia mbavuni,kifuani, miguuni, mikononi ambako aling’olewa baadhi ya kucha za vidole na kichwani na kinywani, ambako aling’olewa meno mawili,”alisema.

Alifafanua kwamba, kutokana na maumivu hayo ya kichwa, Dk Ulimboka alipata tatizo la mtikisiko wa ubongo, lakini akasisitiza kuwa madaktari bingwa wanaendelea na harakati za kuokoa maisha yake.

Vyanzo:TZMPAKAAU,Solo Thang,Globalpublishers na Mtwara Kumekucha


Thursday, June 28, 2012

The Speech I delivered at the Accounting Association of Dar es Salaam University (AADU) Farewell Party

 
Monica Joseph
SPEECH BY MS. MONICA JOSEPH, GENERAL MANAGER – MOKASI MEDICAL SYSTEMS/PHILIPS HEALTHCARE REPRESENTATIVE IN TANZANIA AT THE AADU NIGHT,
LAND MARK HOTEL, FRIDAY 22nd JUNE, 2012
President of Accounting Association of Dar es salaam University,
Distinguished Guests;
Ladies and Gentlemen;
I thank you, Ms. Bahati, the Outgoing President of Accounting Association of Dar-es-Salaam University, for the honour you bestowed in me, of being the Guest of Honour at this farewell graduation party to the members of your association- who are completing their Bachelor degree at the University of Dar es salaam Business School this year. I must admit from the outset that when I received your invitation, I was a bit shocked, because I am not a public figure to deserve such a responsibility.
Nevertheless I had no choice but to oblige because I happen to be a member of the accounting fraternity, therefore I thought it would be unwise to turn down your colleagues. I appreciate the warm welcome accorded to me and fellow invited guests. I thank the organizers of the ceremony for a job very well done. We are all truly refreshed by the entertainment. I thank you.

Ladies and Gentlemen;
Today, we are celebrating an important milestone to our brothers and sisters who have completed their Bachelor degree at the prestigious Business School of UDSM. Indeed, they have achieved an important stage in their quest for higher education. I congratulate them, most sincerely, for being able to complete undergraduate education. I am quite sure they have made their parents very proud indeed. But let me hasten to say to our dear graduates, this is not the end of your journey in the search for education and knowledge.
Let this be the completion of the foundation and, therefore, beginning of the preparations for pursing the next level towards postgraduate educational achievements as well as career development. While I appreciate the fact that the journey you have just finished was exciting and demanding, pursuing post-graduate studies or career development is even more challenging and rewarding. The good news is that, it is achievable and manageable. Many of us have done it, you too can.
All that is required of you is to be focused and devoted to studying- for those who will pursue post-graduate education; and working hard-for those who will opt to start their careers. Whichever way you go-you all have to observe the highest levels of discipline, hard work and good conduct.
Dear Graduands;
While it befits to congratulate yourselves, you should never forget to congratulate your lecturers a job very well done. They have painstakingly taken good care of you, mentored you and gave you the education. I commend and thank them for their patience and perseverance.

Dear graduands, Dear members of the accounting association of UDSM, Ladies and Gentlemen;
Coming from the accounting profession myself, in a modest way, let me use this opportunity to share with you few tips on what both our graduands and other accounting student may need to have in mind to prepare for a successful career as an accountant. From the outset you should all be aware that in today’s world, facing the highly competitive and globalizing environment, everyone in every profession must be well equipped for more and more challenges. Then, what challenges would accountants face today and what can be done to raise our competitiveness? First of all, an accountant must be responsive to learning new things. When you come across something that is totally new to you, you have to understand them fully in a short period of time.
You may think that accounting is just dealing with the accounts according to the accounting principles, why is there the need to understand new things in a very short period of time? I can tell you that it is because the International Accounting Standard is changing rapidly from time to time to cope with the rapidly changing business environment. When you have been accustomed to one set of accounting principles, the new set of principles is ready to be launched. The cycle goes continuously and becomes a challenge for accountants.
The need to learn fast also arises from the requirement to understand commercial substances of business activities that may not directly related to accounting but could have significant impacts on accounting treatment and management decisions to which accountants are expected to contribute. Therefore, readiness to absorb new knowledge during the life long career in the accounting profession would be a key to success. Bear in mind that “Life Long Learning” is not only a slogan but also a must for accountants who are working in a highly dynamic business environment. A caveat here is accountants may need to be prepared to work long hours under stressful working environment. Once when you have become a qualified accountant, or even on the day you step out of the campus, you have to face stressful working environment. No matter what kind of duties you perform in the accounting profession, the situation is more or less the same.
As all of you here may understand, deadlines are always there for the accounting profession. No matter whether you are an auditor, a tax adviser or an in-house accountant, during peak seasons, when deadline is approaching, you have to work until very late under stress inevitably. I encourage you to make sure that you are physically and psychologically prepared for this challenging environment and seize every opportunity to enhance the competitiveness through continuous and vigorous learning and acquiring a comprehensive knowledge of accounting to prepare for the way to becoming successful accountants.
Ladies and gentlemen,
Before I conclude, I would like to say few things about the accounting association of the University. I urge you continue furthering students interest in the field of accounting as well as acquainting all phases of the University of Dar es salaam School of Business student body with the functions of the professional accountant. It is by doing so you will help your members to become competent accountants.
I understand that the accounting association requires resources to run its activities. I challenge you to come up with innovative ways to mobilize resources to your organization. One such way is to organize yourself to provide accounting consultancy services to small business and individuals who requires your skills but cannot afford to engage established accounting firms. On my part I commit to help linking your association with such firms and I will also provide a modest contribution to your association to further your work.
Ladies and Gentlemen;
This is not an occasion for making long speeches lest I sound like a politician. Tonight is a night for celebrations. So once again I congratulate all the graduands. I want you to be good ambassadors of the University of Dar-es-Salaam Business school when you go for further studies and in everyday life. Also be a good example of how a young educated Tanzanian should look like and behave. The future of the accounting profession is somehow in the hands of all of you here. Be hardworking and I am sure that all of you will be excellent accountants.
I wish you every success. I thank you for listening.

for more information visit her blog http://monfinance.com/ 

Wednesday, June 27, 2012

KIONGOZI WA MADAKTARI WALIOGOMA ATEKWA, APATIKANA AKIWA MAHUTUTI




Dr. Stevin ulimboka alipataikana mapema leo asubuhi ambapo amewahishwa katika hospitali ya Muhimbili Kupatiwa matibabu  yupo mahututi ambapo amepataikanaakiwa ameumia vibaya kutokana na kipigo cha watu ambao hawajafahamika .

dk: ulimboka alipatikana baada ya taarifa mbali mbali kusambazwa katika mitandao mbali mbali kuhusu kupotea kwake.


Angalia xclussive ya dk: Ulimboka live Clouds Tv walipopata mahojiano yake leo mapema baada tu ya kupatikana akiwa katika hali mbaya .... soon Clouds Tv

Tuesday, June 26, 2012

50 Cent Injured In A Car Accident (Exclusive Pictures)


50 Cent was in a bad accident tonight as his bullet-proof SUV was rear-ended by a Mack truck on the LIE in NYC.

He was put on a stretcher and taken to the nearest Queens hospital where they are currently running test on his neck and back.

His driver is also currently in the hospital as the SUV almost flipped over.

The truck driver reportedly told police his loaded shifted and lost control of the vehicle.


More as it develops..

UPDATE #1:
added pics of the Mack Truck

TUNAKUKUBUKA AMINA CHIFUPA PUMZIKA KWA AMANI

Ilikuwa tarehe 26 june 2007 tulipompoteza mh.Amina Chifupa.Ikiwa pia ni siku ya upigaji vita matumizi ya madawa ya kulevya.
Amina ametimiza miaka mitano sasa tangu alipotutoka.Na ataendelea kukumbukwa kwa ucheshi wake,mbwembwe zake katika utangazaji kupitia kipindi cha chuchuchu,kwa raha zetu,bambataa na leo tena hapa clouds fm.
Mpaka anakumbwa na mauti alikuwa mbunge wa viti maalum kupitia chama cha mapinduzi.Watanzania wataendelea kumuenzi na  atakumbukwa kwa vita yake dhidi ya wauzaji wa madawa ya kulevya.
Marehemu Amina aliacha mtoto mmoja tu Rahman(pichani)ambae kwa sasa ana miaka 10 yupo darasa la tano sasa.

RIP AMINA CHIFUPA TUTAKUKUMBUKA DAIMA

SALAMU TOKA KWA MWANAMUZIKI DALLY KIMOKO UNAMKUMBUKA!!!


I am so glad kuona kuwa hata wanamuziki wa nje ya Tanzania wanatambua mchango wangu leo asubuhi nimefurahi sana kupokea ujumbe na salamu kutoka kwa mwanamuziki mkongwe maarufu kama DALLY KIMOKO (Dally Germain Kimoko).

akisema still anafanya poa na nanukuu "NIKO MUZURI SANA" AKIMAANISHA YUKO FIT kwa habari zaidi za mwamuziki huyu  kwa sasa yupo na bado anafanya vizuri katika muziki  akiwa huko DRC kongo mengi zaidi yatakuja kuhusiana na mwanamuziki huyo ambae nimeomba kufanya nae mahojiano maalum atakapo kamilisha kuyajibu basi wadau mtayaona na kuyasoma


kwa ufupi sana Dally kimoko ni mpiga gitaa , mtunzi na mwimbaji  amewahi pia kufanya kazi na mamia ya wanamuziki wakubwa tu maarufu. akiwemo hayati Pepe kalle Nyboma Canta, madilu system, abêti masikini, lokassa ya mbongo, Lesliena kundi la magic system, aulus mabele, kanda bongo man, Pierrette Adams, M'bilia bel, mpongo love, long long, Oliver ngoma, ismailo, papa wemba, koffi olomide, richy sakamoto, carlito lassa.na wengineo wengi tu.


        HUU NDIO UJUMBE  ALIONIANDIKIA
How are Sophie longtime are you fine? Im fine (Dally kimoko) i ahve been to busy with work but thank you for suporting african music i realy apriciate please dont forget our work on your Radio station  we will never forget you your doing good and great things. please dont Forget me beacause i no Forget you to. Thanks niko muzuri .

Dally kimoko my sister i love you.

Monday, June 25, 2012

WABUNGE 70 KUFANYIWA TOHARA LEO NCHINI ZIMBABWE



Dozens of Zimbabwean MPs are due to be circumcised in parliament today as part of a high profile anti-HIV drive in the country.

Up to 68 politicians are to voluntarily go under the knife to show their commitment to fighting the killer disease in the African nation.

The MPs are all due to undergo the operation today at a makeshift clinic set up inside the parliament building in Zimbabwe's capital Harare.

The scheduled surgery is part of a high profile anti-HIV drive organised by the campaign group Zimbabwe Parliamentarians Against HIV and Aids.

Chairman Blessing Chebundo told the independent NewsDay newspaper dozens of MPs had already agreed to undergo voluntary testing and counselling sessions in parliament.

He said: 'The response by MPs was very high and we are now doing group counselling sessions to prepare us for the main event on Friday.

Mr Chebundo told NewsDay all uncircumcised male MPs were being encouraged to undergo the operation, which is thought to reduce the risk of HIV infection by up to 60 percent.

He added that female parliamentarians had been invited to bring in their male spouses to take part in the novel public scheme.

The MPs' circumcisions form part of a major campaign against HIV in Zimbabwe.

Around a million people in the country are believed to be infected with the deadly sexually-transmitted disease, which if left untreated can lead to the break down of a patient's immune system.

The figure represents around 14 percent of Zimbabwe's population but is a vast improvement on higher levels of HIV prevalence seen in previous years.

Around 70,000 men are believed to have been voluntarily circumcised since 2009 as part of a government drive to tackle the disease.

The suggestion that MPs should sign up to the scheme was made last year by Zimbabwe's deputy prime minister Thokozani Khupe.

At the time many MPs spoke out aggressively against the idea.

However dozens have since agreed to take part in the programme in the belief doing so publicly could help tackle the stigma of HIV.

The killer disease is controllable with drugs and Zimbabwe is one of several African countries which has seen its rate of infection decline.

However experts believe thousands of people remain at risk of becoming infected due to unsafe sexual habits and poor education about the disease.

The problem is widely believed to be exacerbated by a stigma around HIV which prevents some people from discussing it or even agreeing to have their status tested.

Daily Mail

Spencer West, Double-Amputee, Climbs Kilimanjaro Using Only His Hands

 
 
Tuesday, after he and his two best friends had just spent seven days hiking through some of Tanzania's wildest terrain from snowfields to deserts, was that the summit sign was a mirage. One other fact made the exhausted West's arrival all the more bittersweet: He had done it using only his hands. Born with a genetic disorder that forced his legs to be amputated when he was 5, West was told by doctors that he would never be a functioning member of society. But instead of listening to them, the brave Canadian, now 31, set out to defy them for the rest of his life – and his recent scaling The first thing Spencer West thought when he reached the top of Mt. Kilimanjaro on of Africa's tallest peak is just another example of that determination.
 
 
 "By the time I got to the top my hands were numb, my elbows were sore, my shoulders were sore – but there's something to be said about determination and trying to reach your goal," West told Canada's CTV. "And for us, we wanted to be this symbol that anything is possible and that we could redefine what's possible for ourselves and maybe for others." To prepare, West underwent rigorous upper-body workouts for a year so he would be capable of hoisting himself along the hike's often-rocky terrain. "The moment the summit was within sight," he said, "it was incredible. We looked around … and realized that, after seven grueling days of relentless climbing, after 20,000 feet of our blood, sweat and tears – and, let's face it, vomit – we had actually made it. We were at the top." With his feat, West, who says he is "humbled by everyone's support," raised nearly $500,000 – not for himself, but for others. He plans to donate the money toFree The Children, a charity that provides impoverished children with education, clean water, health care and sanitation.

Thursday, June 21, 2012

ONYESHO LA MTU MZIMA DAWA KULIPUKA NDANI YA VILLA PARK, MWANZA




ONYESHO lililopewa jina la Mtu Mzima Dawa ambalo litafanyika Julai 6 (Ijumaa) kwenye Viunga vya Villa Park jijini Mwanza linatarajiwa kuwa bab kubwa.

Akizungumza jana Meneja wa Kundi la TMK Family ambao ndio wandaaji wa onyesho hilo, Said Fella amesema litakuwa onyesho la pekee ambalo halijawahi kutokea Mwanza.

“Onyesho la mtu mzima dawa kwenye Ukumbi wa Villa Park Julai 6, litakuwa bab kubwa sana, yaani itakuwa ni mlipuko,” alisema Fella.

“Tumeandaa wasanii wazuri wenye vyimbo zinazotamba sasa, ambao wamejipanga vyema kwa ajili ya kufanya makamuzi ya kuilipua Villa Park.”

Fella aliwataja wasanii watakaoshiriki kwenye onyesho hilo la usiku wa mtu mzima dawa kuwa ni Bibi Cheka, ambaye ndiye mhusika mkuu wa onyesho hilo.

Wengine watakaomsindikiza ni Chegge, Temba, Aslay kutoka TMK Family, Ommy Dimpoz, Mwana FA na Ferouz. Habari/www.kajunason.blogspot.com

Tuesday, June 19, 2012

NILIANDIKA KUOMBA MSAADA WA TATIZO LA KULA KUCHA KWA BAADHI YA WATU KWENYE UKURASA WANGU WA FACEBOOK NA HAYA NDIO MAJIBU!!


KWA NINI BAADHI YA WATU HASA WANAUME WANAPENDA KULA KUCHA!!! JE NI UGONGWA AU NAOMBA MNISAIDIE KUFAHAMU MNAOFAHAMU ......JAMBO HILO LINA NIKERA NIMEONA MARAFIKI ZANGU KADHAA WAKILA KUCHA MPAKA ZIMEKUWA HIVYO JAMANI MA DOCTOR NA WATAALAM WA MASWALA YA AFYA NINI TATIZO NA NINI TIBA YAKE???? HEBU TUWASAIDIE WENYE TATIZO HILO!!
· ·

  • Stella Meshack and 2 others like this.

    • Chuma Salum mmh! afu ungeona zangu ndo ungenionea huruma,,sijui nifanyeje ili niache!
      14 minutes ago ·

    • Munyama Mukubwa Kamba Fedha Mi pia ni muathirika wa hyo k2 na wakat mwngne napambana na hyo hali lakn najkuta 2 kdole kshafka mdomon na nakata kucha kwa meno.. Nshawah kuulza sehem nkaambiwa huo ni ugonjwa na cwez kupona coz ni automatic kama yalivyo mapgo ya moyo. Kiukwel kuna wakat najichukia.
      11 minutes ago ·

    • Abdul Noor Sophia km dizaini ya u-gaysh flani kwa wanaume nadhani kuna tatizo
      11 minutes ago ·

    • Sophie Kessy CHUMA POLE SIO WEWE PEKE YAKO MIE NIMEONA MARAFIKI WENGI SASA NAJARIBU KUULIZA COZ FACEBOOK INA WATU WENGI WANAFAHAMU MAMBO MENGI LABDA WANWEZA KUTUSAIDIA KUPATA JIBU ILI TUWASAIDIE NA WENZETU MARAFIKI NAJUA FIKA HAWAPENDI ILA WAMEZOEYA SASA KAMA UNAVYOJUA MAZOEYA NI MABAYA TIBA YAKE NDIO LA MSINGI MWENYE KUFAHAMU TAFADHALI ATUSAIDIE.
      10 minutes ago ·

    • Haika Mcharo tatizo hawapendi urembo.Kucha ni sehemu ya urembo.Alafu wanawaponda akinamama na akina dada wanaokaa kusafisha kucha hasa sehemu za wazi kama Mwenge. Hata siwaonei Huruma.Acha waendelee kula wanaposikia njaaa
      9 minutes ago ·

    • Elijah Wa-Elijah ha hahahaha hsina comment...ila kwa ufupi hawapendi uchafu!!!
      9 minutes ago ·

    • Ulimboka Hosea Jaman sijui niseme n mazoea coz unajikuta vdole vpo mdomon tu coz cdhan kama n ugonjwa au la hasha
      9 minutes ago ·

    • Sophie Kessy TAFADHALIMADAKTARI WOTE I KNOW NINA MARAFIKI MADAKTARI WENGI TU HUMU NDANI HEBU SAIDIENI JAMANI WATU WANAMALIZA KUCHA KWA KUZITAFUNA TATIZO NINI NA TIBA YAKE PLZZZZZZZZZZ! AU MPAKA TUANZISHE KAMPENI YA (OKOA KUCHA)!!!!! KHE
      6 minutes ago ·

    • Json Swag Hiyo ni sababu ya njaa, maana utaona mwanaume katoka na duu, duu yeye anakula chips kuku thn mwanaume anatafuna kucha...hyo ni kwa utaaramu binafsi!!!
      5 minutes ago ·

    • Stella Meshack Nafikiri ni pozi tu, ila inakera zaidi ya kukera
      4 minutes ago ·
  • Sistus Basil siyo ugonjwa hata mimi hupenda kutafuna kucha, hata mwanangu wa kwanza, hii inatokana na wepesi wa kucha nyingine ni laini mno kama zangu hasa nikifua zote hukatika
 
Noah Mwandisi MMOJA WAO NI MIMI NAPENDA SANA KULA KUCHA NISAIDIENI JAMANI
2 minutes ago ·
  • Levina Maleo Bora umeliona Sophy, kusema ukweli hili suala huwa linanikera sana jamani ebu mjaribu kuacha plz
    about a minute ago ·
  • Stella Meshack Kwani unaumwa Noah Mwandisi??
    about a minute ago ·
  • Elina Lutainulwa mi si doctor ila nafikiri hii ni tabia ya mtu aliyoianza toka utotoni,hakuianza ukubwani,na hivyo basi inakuwa ni psycological prblm si rahisi mtu aweze kuiacha kiharaka sana bali taratibu kwa kuikataa hiyo hali na kuifanya mikono kuwa busy ol da tym asipate muda wa kula kucha
    a few seconds ago ·
  • KAMA UNAWAZO LOLOTE AU NA WEWE UNAELEWA TIBA HEBU TUWASAIDIE WENYE TATIZO HILO TAFAHALI..