Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Friday, October 31, 2014

TUJIKUMBUSHE YA BOZI BOZIANA NA SCHOLA MIEL KISHA LEO IJUMAA KISHA NIAMBIE MALKIA WAKO UNAKUMBUKA NINI HASA.



 


UNAIKUMBUKA SAUTI TAMU KUTOKA KUNDI LA ANT CHOK LA BOZI BOZIANA HAYA BASI FUATILIA KWA MAKIVI KIDEO HIKI KISHA NAMBIE ENZI HIZO ULIKUW AWAPI NA UNAKUMBUKA NINI ?







 

HAYA MPENDWA IJUMAA NJEMA 
WAKO MALKIA LA RAINE

Wednesday, October 29, 2014

HAROLD NA HASHINA WAMEREMETA

Harold & Hashina watikisa jiji la Arusha ilikua ni shida katika bustani za TJT. Nicky productions kama kawa ndani ya nyumba
inatuvuta na kutufikisha eneo la tukio.



 KA SAINE NA YEYE KATOKELEZEA
 MAHARUSI NA NYUSO ZA FURAHA














ASANTE SANA NICKY PRODUCTIONS KWA PICHA ZA MATUKIO TUKO PAMOJA. KEEP IT UP BRO...

NDOA YA KIHISTORIA ILIYOFUNGWA NGORONGORO CTARET

 PICHA ZA TUKIO ZIMA NI KWA HISANI YA NIKSON MACHUA TOKA ARUSHA.

hayawi hayawi hatimae yakatimia kati ya Mayunga & Krist walipoamua kuweka historia  mpya  wafunga ndoa ndani ya ngorongoro crater chini ya ulinzi mkali wa simba na nyati. Nicky productions kama kawa ndani ya crater inatufikisha huko kushuhudia





 ulinzinzi wa hatari kutoka kwa simba huyu....

 baadhi ya wanafamilia na marafiki wakifuatilia kwa umakini na wakishuhudia tendo hili muhimu

 ikafika zamu ya bwanaharusi kusain cheti cha ndoa takatifu




  



 







 na simba alishuhudia what a nice wedding !!!!





kila la kheri mwenyezi Mungu awajalie baraka tele awatangulie katika kila mfanyalo katika maisha yenu mapya ya ndoa muwe na ndoa yenye amani na upendo mbarikiwe mtuletee na vitukuu.

Monday, October 27, 2014

UCHAGUZI WA BRAZIL DILMA ROUSSEFF AAHIDI MAGEUZI BAADA YA KUSHINDA UCHAGUZI.




Rais Dilma Rousseff ameahidi kuiunganisha nchi ya Brazil baada ya kushinda kwa kuchaguliwa tena kwa awamu ya pili kwa asilimia 51.6% ya kura. 



Licha ya upinzani  wa karibu nusu  ya wapiga kura nchini Brazil , rais Dilma Rousseff hatimae amechaguliwa  tena kwa mhula wa pili wa kipindi kingine cha miaka minne, ukiwa pia ushindi wa nne wa chama chake cha wafanyakazi.


Bibi Rousseff mwenye umri wa miaka 69 na ambaye wakati wa ujana wake alikuwa mpiganaji wa chini kwa chini mfuasi wa nadharia ya Marx amemshinda mpinzani wake Aecio Neves  kutoka chama cha Social Democrats  kwa asili mia 51 dhidi ya 49 ya kura.



Bi Rousseff, ambaye amekuwa madarakani tangu mwaka 2010, bado maarufu Brazil kwa programu ya ustawi wa serikali yake,a
nakabiliwa na changamoto ya kuyatatua matatizo ya kiuchumi, huduma  mbaya za umma na rushwa.


AUSTRALIA YAZUIYA WATU WANAOTOKA MATAIFA YALIOKUMBWA NA MLIPUKO WA EBOLA KUINGIA NCHINI HUMO




Australia imezuia kwa muda pasi za kusafiria kwa watu wanaotaka kuingia nchini mwao hasa wale wanaotoka nchi za Afrika Magharibi  nchi ambazo zimekumbwa na mlipuko wa ebola.

lengo la Australia ni kujaribu kuzuia virusi visiweze kutoka na kusambaa nakuingia katika  mipaka yake.

Waziri wa uhamiaji , Scott Morrison, ameliambia bunge mapema leo  Jumatatu kwamba serikali yake imeamua kusimamisha kwa muda utoaji wa  viza kwa watu kutoka nchi hizo zilizoadhiriwa na  ugonjwa huo, ambao umepoteza maisha ya watu wengi tangu kuzuka kwake. Huku  zaidi ya kesi  10,000 zikiripotiwa katika nchi hizo.

Sunday, October 26, 2014

PICHA 8 ZA LEAH ALANGUKA MISS UGANDA 2014/15






Miss Uganda 2014 Leah Kalanguka (C) poses with the 1st and 2nd runners up.
23-year-ol Leah Kalanguka from Iganga district beat other contestants to be crowned the 2014/2015 Miss Uganda at a function held at Speke Resort Munyonyo on Saturday evening.
It was a moment of heartbreak for contestants as the day’s MCs Flavia Tumusiime and Roger Mugisha announced the winner among the 5 finalists.