Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tuesday, November 25, 2014

HARUSI YA KIFAHARI WALIYOFUNGISHWA NYANI NCHINI INDIA IMEGHARIMU DOLA 161,629 ZA MAREKANI







Kesho  katika CLOUDS 360 je wajua tunakusafirisha hadi nchini INDIA na huko tunakukutanisha na tukio la ajabu lililotokea hivi karubi baada ya zaidi ya watu 500 kuhudhuria katika harusi ya kifahari iliyohusisha wanyama wawili jamii ya NYANI.

 Unaweza kushangazwa na taarifa hii kama ndiyo mara yako ya kwanza kuisikia lakini ukweli utabaki kuwa hapohapo kuwa Wanyama hao jamii ya nyani walifungishwa ndoa ya kifahali inayokadiliwa kufikia thamani ya INDIAN RUPEE Milioni 10 sawa na Dola za kimarekani 161,629.






usikose kuifuatilia katika je wajua hapo kesho kwenye 360 ya clouds Tv kama kawaida mie msimuliaji wako sophia kessy

Sunday, November 16, 2014

NAREENPOL MTI WENYE MATUNDA YAFANANAYO NA MWANAMKE MREMBO USIKOSE KUJUA ZAIDI

USIKOSE KUITAZAMA CLOUDS 360 KESHO KWENYE JE WAJUA UWEZE KUJUA KUHUSU MTI WA AJABU ULIOPO NCHINI THAILAND UNAOTOA MATUNDA YENYE UMBO LA MWANAMKE MREMBO. MTI HUO UNAFAHAMIKA KWA JINA LA NAREENPOL KWELI DUNIA INA MAMBO JE ULIKUWA UKIJUA HILO? NITAKUJUZA ZAIDI

TERRAWIND CAR GARI YENYEUWEZO WAKUTEMBEA JUU YA MAJI USIKOSE JE WAJUA YA 360

USIKOSE KUITAZAMA CLOUDS 360 WIKI IJAYO KWENYE JE WAJUA UWEZE KUJUA KUHUSU MAGARI YA KISASA KABISA YENYE UWEZO WA KUPITA JUU YAMAJI KWA UMBALI WA MAIL 500 NI MABASI YA KISASA YATAKAYO SAIDIA KUONDOKANA NA FOLENI TERRAWIND CARS.. USIKOSE HA HA HA HA !!! (Terra Wind Amphibious RV)


Sophie Kessy's photo.


  • Jackson Dissii Jaredi Mhhhhhh,,,,,, hii ni shiiiiiiiiida,,

    Junior Beezyone · 19 mutual friends
    Hii ni zaidi ya kujua kwakweli...em ngoja naona kihere here kinaanza kunijia mapema..maza ni mpenzi wa je wajua yaaani asubuhi na mapema sana yuko kideoni niweekeeni 360.

TUJIKUMBUSHE YA KANDA BONGOMAN NA YONDO SISTER NA LIVE SHOW ZAO YA MWAKA JANA

WAKALI HAWA WALITIKISA SANA ANGA LA MUZIKI WA DANCE HEBU TUJIKUMBUSHE KIDOGO .
KWA YONDO HII HAIKUWA LIVE ILA BURUDIKA NAE

Monday, November 10, 2014

DALLY KIMOKO FT YONDO SISTER : NELSON MANDELA WE LOVE YOU






haya sasa baada ya kimya cha muda mrefu hatimae mwanamuziki nguli na mchara gitaa maarufu Dally Kimoko hatimae wameuvunja ukimya kwa kushirikiana na mwanamuziki Yondo sister na kufyatua kitu matata sana kinachoenda kwa jina la Nelson Mandela we Love you, sitaki kuongea mengi sana kazi ni kwako ntakupa habari zaidi kuwa mwana Mama huyu  yuko wapi na anafanya nini kwa sasa wakati mwingine. burudika kisha nipe maoni yako.




Toleka...

Wednesday, November 5, 2014

ITS A BOY HONGERA ZAKE KELLY ROWLAND NA HUBBY WAKE TIM WITHERSPOON




Kelly Rowland and hubby Tim Witherspoon welcomed their first child Tuesday at 1:30pm PT… a 7.5 lb. baby boy named Titan Jewell!

The former Destiny's Child songstress stated:
"We are thrilled to announce that today we are the proud parents of our first son. We are blessed to report everyone is healthy and happy!"
Congrats to the lucky parents!